Wednesday, December 19, 2012
Ni bayana kuwa kiungo,sehemu au kitu kimoja cha mwili hakitafikia utendaji thabiti pale kisiposhirikiana na vingine.Ushirikiano baina ya akili,mikono,kinywa,miguu , macho nk. ndio chanzo kikubwa katika kukuza kipaji cha mtu.Isipokuwa utendaji na uchakarikaji wa sehemu hadi sehemu hutofautiana ,ikitegemea mazingira,shughuri na wakati.Wafuatao ni watu kumi(10) walioaminika kuwa na vipaji vya kipekee kutokana na uwezo wa akili (4Mind 4 life.com na time magazine).
1.ALBERT EINSTEIN-mwanafizikia(physicist)


2. CHARLES DARWIN-mtaalamu wa jiolojia(geologist)

3.PYTHAGORAS-mwana mahesabu(mathematician)


4.ISAAC NEWTON  -mhandisi umeme(engineer),falaki(astronomer)


5.LINUS PAULING-mwanakemia,mwalimu


6.WILLIAM SHAKESPEAR-mshairi(poet)


7.LEONARDO DA VINCI-mchoraji

8.LUDWIG VAN BEETHOVEN-mwanamziki


9.GERRY KASPROV-mcheza chesi(chess) 


10.MARTIN LUTHER-mwanateolojia,dini(theologian)
 

0 comments:

Popular Posts