Waliotembelea

Tafuta

Labels

Monday, November 19, 2012
Kama mwanafunzi ni muhimu sana kubaini na kutambua jinsi ya kujifunza. Hasa kujifunza kwa njia ya kuona ambako kuna vipengele vikuu vinne(4) ,navyo ni kama vifuatavyo
1.KUSOMA VITABU,VITINI NA HABARI ZILIZOCHAPWA

2.KUJISOMEA NOTISI ZA DARASANI 

3.KUSOMA MITIHANI NA MAJARIBIO YALIOPITA





4.KUSOMA FUPISHO ZAKO(summary)



0 comments:

Popular Posts