Waliotembelea

Tafuta

Labels

Wednesday, November 7, 2012
Kutazama televisheni miongoni mwa wanajamii hususani wanafunzi ni kitu muafaka kwa maana ya kujenga maarifa,pasipo kuwa na kikomo katika utazamaji,utajikuta wapoteza muda wako mwingi na hivi ni vipindi vitano(5) kwa ajili ya kukuzauelewa na maarifa
1.TAARIFA YA HABARI
2.BAJETI ZA BUNGE
 3.MIDAHARO MBALIMBALI
 4.MASWALI NA MAJIBU
5.KIPINDI CHA MASOMO
 
 

0 comments:

Popular Posts