Waliotembelea
Tafuta
Labels
- afya (10)
- akili (1)
- filamu (4)
- filamu.video (1)
- kipaji (6)
- kompyuta (2)
- kujifunza (17)
- kuona (1)
- maneno (6)
- matokeo (1)
- mazoezi (2)
- mbinu (1)
- michezo (5)
- mitandao ya kijamii (1)
- mwaka (1)
- mziki (1)
- ndoto (2)
- njia (1)
- nukuu (6)
- picha (12)
- picture (10)
- sikiliza (1)
- social ntworks (1)
- tafiti (5)
- teknolojia (5)
- tukio (7)
- usahaulifu (1)
- usingizi (1)
- video (4)
- wasanii (4)
Blog Archive
-
▼
2012
(23)
-
▼
November
(10)
- WATU KUMI(10) MASHUHURI WALIOANZA KAMA WANAFUNZI
- ZIJUE AINA TANO(5) ZA KUJIFUNZA KWA KUSIKILIZA
- NUKUU SABA(7) MAARUFU KUHUSU ELIMU
- VIPENGELE VINNE(4) KATIKA KUJIFUNZA KWA KUONA
- AINA TATU(3) ZA KUJIFUNZA
- THE BIG SCORE
- MAMBO NANE(8) YANAYOATHIRI MAENDELEO YA TAALUMA
- FILAMU TANO(5) ZITIAZO HAMASA KATIKA USHINDI
- NAMNA SITA(6) ZISAIDIAZO UBONGO,AKILI
- VIPINDI VITANO(5) VYA TV VIKUZAVVYO MAARIFA
-
▼
November
(10)
Sunday, November 11, 2012
"The big score"ni mashindano yanayohusisha michezo na burudani ya aina tofauti kama football,basketball,netball,volleyball n.k Mashindano haya yapo chini ya chuo cha sauti mtwara(Stella Marris University College ) yakifanyika kila mwaka.Tarehe 10 November 2012 The Big Score ilizinduliwa rasmi katika viwanya vya T.T.C Mtwara.
wahadhiri wa chuo
Mara muda uliongojwa kwa hamu sana,mgeni rasmi kufungua
mashindano ukawadia
Mgeni rasmi akikagua timu
wakisalimiana
Waamuzi wa mechi nao upande wao
walikuwa fiti
Wacha nyasi ziuemie timu zilimenyeka
vibaya sana
Kikosi toka mwaka wa pili kikiwa tiari kwa mechi iliyofuata
Kikosi cha mwaka wa tatu kikiwa tayari kwa mauaji zidi ya
wapinzani wao wa jadi,mwaka wa pili
Juu ni makapteni wakipata maagizo toka
kwa waamuzi
Mchezo wa basketball nao haukuwa nyuma chini ni baadhi ya
wachezaji wa mwaka wa tatu
yalifana vilivyo
Volleyball pia haikuwa nyuma na hawa ni
wadau wakiwa wanapasha(warm up)
Burudani ilifanikishwa kwa uwezo
mkubwa wa madjs hatarii
Hapo juu ni mashabiki wa mwaka wa tatu
wakifatilia mchezo kwa makini
Hawa ni mashabiki wa mwaka wa pili
wakijadili namna ya kushangilia
wazee toka kila kona
ya mkoa wa Mtwara ,waliotiririka
ili kushuhudia ufunguzi wa mashindano
haya
Subscribe to:
Post Comments
(Atom)
0 comments:
Post a Comment