Wednesday, October 31, 2012
Usingizi kwa mwanafunzi umegeuka kuwa kikwazo sio tu kwa kupoteza muda bali bila kuathiri maendeleo ya kitaluuma ya wanafunzi wengi,na zifuatazo ni njia zitakazokusaidia kuepuka huu usingizi

1.KUKAA WIMA BILA KUEGAMIA KITU

2.KUJISHUGHURISHA
 3.SIMAMA KWA TAKRIBANI DAKIKA1-2
 4.TEMBEA UMBALI WA MITA 20-50
5. MWAGIA KICHWA MAJI,NAWA USO
 

0 comments:

Popular Posts