Waliotembelea

Tafuta

Labels

Friday, November 30, 2012
Ni hatua itiayo moyo kuwa safari ya kuwa mwanafunzi hasa kwa miaka mingi huwa na kituo.Na kituo hiki hugawanyika katika nyanja mbalimbali kama elimu,biashara,siasa,michezo nk.Hatua ya kusoma leo, kesho waweza fikia mafanikio kama ilivyokuwa kwa hawa watu kumi(10) wafuatao
1.BILL GATES(Bilionea na mwekiti wa Microsoft)


2.MARK ZUCKERBURG(Bilionea na Mgunduzi wa facebook)


3.BAKHRESA(Mfanyabiashara Tanzania)

4.ROBERT MGABE(Rais Zimbabwe)

5.JAKAYA M KIKWETE(Rais Tanzania)

6.BARACK H OBAMA(Rais Marekani)

7.MICHAEL J JACKSOM(Mwanamziki Marekani)

8.JUDITH WAMBURA(Mwanamziki Tanzania)

9.DAVID BECKHAM(Mcheza mpira Uingereza)


10.JUMA KASEJA(Mcheza mpira Tanzania)
       

.


Hatuna budi kukubali kuwa maarifa hupokewa kwa njia tofauti ikiwemo ile ya kusikia,na baadhi ya tafiti zimeonyesha idadi kubwa ya wanafunzi huelewa sana kwa njia ya kusikia, zaidi ya kuona au kutenda.Tafiti ya kitabu cha"making your self success in college"kinabainisha aina tano(5) za kujifunza kwa kusikia kama ifuatavyo
1.KUSIKILIZA MWALIMU KWA MAKINI

2.KUSOMA KWA SAUTI DARASANI

3.KUSIKILLIZA KASETI,TEPU NA SANTURI ZENYE KUREKODIWA


4.KUJUMUIKA NA VIKUNDI VYA MAJADIRIANO

5.KUJISOMEA KWA SAUTI 
    
Thursday, November 22, 2012
Ukitazama dhana ya elimu kwa kimantiki,lazima utapata wigo mpana wenye maana au tafsiri zaidi ya moja.Kutofautina huku kwa maana ni matakeo ya upeo wa mtu mmoja hadi mwingine.Na hizi ni  nukuu saba(7)zilizopata kunenwa juu ya elimu
1."elimu ni nguvu"Francis Bacon
 2."elimu ni mwanga"margaret fuller
3."elimu ni bahari haina mwisho"Mufti Menk

 4."elimu ni kile kibakiacho baada ya kujifunza"Albert Einstein

5."elimu  ni mstakabari  kwa ajili ya kujitegemea"Mwl.Nyerere


6."elimu kama ni ghali basi jaribu ujinga"  Derek Bok
 7."elimu ni msingi wa maisha"christine Gregoire
 
Sunday, November 11, 2012
"The big score"ni mashindano yanayohusisha michezo na burudani ya aina tofauti kama football,basketball,netball,volleyball n.k Mashindano haya yapo chini ya chuo cha sauti mtwara(Stella Marris University College ) yakifanyika kila mwaka.Tarehe 10 November 2012 The Big Score ilizinduliwa rasmi katika viwanya vya T.T.C Mtwara.

wahadhiri wa chuo 








                              Mara muda uliongojwa kwa hamu sana,mgeni rasmi kufungua
                                                       mashindano ukawadia
 

                                                  Mgeni rasmi akikagua timu
 wakisalimiana
Waamuzi wa mechi nao upande wao
walikuwa fiti
Wacha nyasi ziuemie timu zilimenyeka
vibaya sana 


                                Kikosi toka mwaka wa pili kikiwa tiari kwa mechi iliyofuata
                                                                            
                                Kikosi cha mwaka wa tatu kikiwa tayari kwa mauaji zidi ya
                                                       wapinzani wao wa jadi,mwaka wa pili
                                                                       
                                             Juu ni makapteni wakipata maagizo toka
                                                                   kwa waamuzi
                                Mchezo wa basketball nao haukuwa nyuma  chini ni baadhi ya 
                                                               wachezaji wa mwaka wa tatu


yalifana vilivyo


                                                Volleyball pia haikuwa nyuma na hawa ni
                                                    wadau wakiwa wanapasha(warm up)


                                                                    
                                                Burudani ilifanikishwa kwa uwezo
                                                              mkubwa wa madjs hatarii



                                                        Hapo juu ni mashabiki wa mwaka wa tatu
                                                               wakifatilia mchezo kwa makini
                                                  Hawa ni mashabiki wa mwaka wa pili 
                                                         wakijadili namna ya kushangilia
wazee toka kila kona
 ya mkoa wa Mtwara ,waliotiririka
 ili  kushuhudia ufunguzi wa mashindano
 haya






Popular Posts