Waliotembelea
Tafuta
Labels
- afya (10)
- akili (1)
- filamu (4)
- filamu.video (1)
- kipaji (6)
- kompyuta (2)
- kujifunza (17)
- kuona (1)
- maneno (6)
- matokeo (1)
- mazoezi (2)
- mbinu (1)
- michezo (5)
- mitandao ya kijamii (1)
- mwaka (1)
- mziki (1)
- ndoto (2)
- njia (1)
- nukuu (6)
- picha (12)
- picture (10)
- sikiliza (1)
- social ntworks (1)
- tafiti (5)
- teknolojia (5)
- tukio (7)
- usahaulifu (1)
- usingizi (1)
- video (4)
- wasanii (4)
Monday, January 7, 2013
Katika viungo muhimu binadamu alivyobarikiwa kuwa navyo moja wapo ni mikono. Mikono huweza kumfanya mtu mmoja awe maarufu au kubaki kawaida,matumizi chanya ya mikono hujenga,hukuza na kuleta kipaji kikubwa.Hata sasa sura ya mikono utaiona yenye thamani machoni pako kama thamani ya dhahabu,almasi na pengine hata zaidi lulu.Zifuatazo ni picha za vipaji kumi(10) vitokanavyo na mikono
1.Mchezo wa kikapu2.uchoraji
3.uandishi
4.uandaaji mziki
5.ufundi radio
6.kupika
7.kutafsiri vitendo
8.kudaka
9.ujenzi
10.kuchapa(typing)
Mvua ni baraka ya pekee chini ya uso wa dunia,na pindi tu ikikithiri hubadilisha sura ya uso wa dunia kwa kuujaza maji.Haya maji mengi yalioambatana na adha kubwaa wanadamu hatusiti kuita mafuriko.Mwanzoni mwa mwaka 2013 januari 4 mji wa Mtwara maeneo ya Mikindani ulikumbwa na mafuriko hivyo kuathiri wananchi na makazi yao.Mali za wanafunzi kama vitabu,daftari,nguo na fedha ni badhi tu ya vitu vichache vilivyosombwa na maji haya.
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.
1.
2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.
Thursday, December 27, 2012
Hapa ni mujumuisho wa wanafunzi toka awali,shule ya msingi,sekondari hadi chuo wakiwa eitha kwenye maandalizi au sherehe ya kirismasi
1.GHANA
2.INDIA
3.CHINA
4.MAREKANI
5.UINGEREZA
6.TANZANIA
7.UFILIPINO
8.IRAN
9.KONGO
10.KENYA
1.GHANA
2.INDIA
3.CHINA
4.MAREKANI
5.UINGEREZA
6.TANZANIA
7.UFILIPINO
8.IRAN
9.KONGO
10.KENYA
Subscribe to:
Posts
(Atom)
Popular Posts
-
Hekima huja sio tu kwa kuona matendo yasiyo na busara ndani yake. Bali hekima hujipambanua katika umbo la uelewa na ufahamu ,pale tu uwapo ...
-
Ibrahim na Neema huvutiwa sana na mitindo.Ndoto yao juu ya tasinia hii ilianza kwa kupenda haiba na unadhifu.Wakiwa ni vijana wasio na aj...
-
Katika moja ya kipindi cha luninga niliona mabishano baina ya watu watatu, hawa jamaa walitofautiana katika misamiati miwili. Msamiati wa...
-
Kwa mujibu wa mtandao mashuhuri duniani unaoeleza maada na mambo mbalimbali , Wikipedia the free encyclopedia . Kusoma ni mchakato wa ku...
-
Wakati mwili wa binadamu ni kama jumba ,akili huwa kama funguo ikusababishayo kufik ia kila chumba cha maamuzi. Maamuzi hufikiwa baada ya ...
-
Ni miongoni mwa maswali ya msingi sana hapa duniani ,mtu kuhoji,kudadisi na kujiuliza maisha ni nini?Kwa kuwa maisha yanagusa kila mwanad...
-
Wakati sauti hujaribu kudokeza baadhi ya tabia za ndani, mavazi hodokeza mawazo, fikra na hisia za mtu .Hii hutokana na muonekano unao...
-
Matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2013 yanatoka tar 21 februari 2014 , huku mabadiliko kadhaa yakijitokeza. Mabadiliko haya ni pamoja na...
-
Kupokea maarifa na elimu kutoka chanzo kimoja,mtu mmoja hadi hatua ya kutafasiriwa na akili ya mtu mwingine,haina budi kuja kwa njia ya kuji...
-
Kombe la dunia(2014) ilikua ni michuano ya kabumbu,ambayo ilianza tar 12 mwezi june na kuisha 13 july, huku ilikonga mioyo ya wanamichezo ...



















