Monday, January 7, 2013
Mvua ni baraka ya pekee chini ya  uso wa dunia,na pindi tu ikikithiri hubadilisha sura ya uso  wa dunia kwa kuujaza   maji.Haya maji mengi yalioambatana na adha kubwaa wanadamu hatusiti kuita mafuriko.Mwanzoni mwa mwaka 2013 januari 4 mji wa Mtwara maeneo ya Mikindani  ulikumbwa na mafuriko hivyo kuathiri wananchi na makazi yao.Mali za wanafunzi kama vitabu,daftari,nguo na fedha ni badhi tu ya vitu vichache vilivyosombwa na maji haya.

1.

2.




3.



4.

5.

6.

7.

8.

9.

10.



0 comments:

Popular Posts