Waliotembelea
Tafuta
Labels
- afya (10)
- akili (1)
- filamu (4)
- filamu.video (1)
- kipaji (6)
- kompyuta (2)
- kujifunza (17)
- kuona (1)
- maneno (6)
- matokeo (1)
- mazoezi (2)
- mbinu (1)
- michezo (5)
- mitandao ya kijamii (1)
- mwaka (1)
- mziki (1)
- ndoto (2)
- njia (1)
- nukuu (6)
- picha (12)
- picture (10)
- sikiliza (1)
- social ntworks (1)
- tafiti (5)
- teknolojia (5)
- tukio (7)
- usahaulifu (1)
- usingizi (1)
- video (4)
- wasanii (4)
Sunday, March 16, 2014
Kukua kwa nyanja ya teknolojia duniani imeendana bega kwa bega na kukua kwa matumizi yake barani afrika. Kwa mapinduzi hayo matatizo makuu ya hili bara sasa yanaelezeka kirahisi kuliko hapo awali. Hapa siongelei tu vita, umaskini, vifoo na magonjwa kama matatizo yanayokumba bara hili, bali pia ukabila, rushwa na mengineyo, kama vizuizi vinavyofunga milango ya kuelekea katika uwanja wa maendeleo. Teknolojia inayojaribu kwa ukaribu kuondoa vizuizi hivyo, imetoa fursa kwa mitandao ya kijamii, blog, muziki, picha, na filamu kufikisha habari kwa uharaka zaidi. Filamu ndio teknolojia ambayo ni kiini cha maada yangu kwa leo. Hivi sasa makampuni makubwa yanayojihusisha na masuala ya filamu ulimwenguni, Hollywood pictures, HBO films, Lion Gate Entertainment n.k, yanawekeza Afrika. Uwekezaji huo unafuatia fursa ya uchumi iliyopo katika bara hili. Mtandao wa Wikipedia unasema '' Afrika ni bara lenye utajiri wa rasili mali lakini wakazi wake ni maskini '' Huu ukweli wa tatizo hili na mengine yaliotajwa hapo juu unadhihirishwa na filamu kumi zifuatazo.
1.SOMETIMES IN APRIL
2.THE DEADLY VOYAGE
3.SARAFINA
4.HOTEL RWANDA
5.ROOTS
6.NERIA
7.THE GODS MUST BE CRAZY
8.THE WHITE MAASAI
9.JERUSALEM
10.BLOOD DIAMOND
Subscribe to:
Post Comments
(Atom)
Popular Posts
-
Hekima huja sio tu kwa kuona matendo yasiyo na busara ndani yake. Bali hekima hujipambanua katika umbo la uelewa na ufahamu ,pale tu uwapo ...
-
Ibrahim na Neema huvutiwa sana na mitindo.Ndoto yao juu ya tasinia hii ilianza kwa kupenda haiba na unadhifu.Wakiwa ni vijana wasio na aj...
-
Katika moja ya kipindi cha luninga niliona mabishano baina ya watu watatu, hawa jamaa walitofautiana katika misamiati miwili. Msamiati wa...
-
Kwa mujibu wa mtandao mashuhuri duniani unaoeleza maada na mambo mbalimbali , Wikipedia the free encyclopedia . Kusoma ni mchakato wa ku...
-
Wakati mwili wa binadamu ni kama jumba ,akili huwa kama funguo ikusababishayo kufik ia kila chumba cha maamuzi. Maamuzi hufikiwa baada ya ...
-
Ni miongoni mwa maswali ya msingi sana hapa duniani ,mtu kuhoji,kudadisi na kujiuliza maisha ni nini?Kwa kuwa maisha yanagusa kila mwanad...
-
Wakati sauti hujaribu kudokeza baadhi ya tabia za ndani, mavazi hodokeza mawazo, fikra na hisia za mtu .Hii hutokana na muonekano unao...
-
Matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2013 yanatoka tar 21 februari 2014 , huku mabadiliko kadhaa yakijitokeza. Mabadiliko haya ni pamoja na...
-
Kupokea maarifa na elimu kutoka chanzo kimoja,mtu mmoja hadi hatua ya kutafasiriwa na akili ya mtu mwingine,haina budi kuja kwa njia ya kuji...
-
Kombe la dunia(2014) ilikua ni michuano ya kabumbu,ambayo ilianza tar 12 mwezi june na kuisha 13 july, huku ilikonga mioyo ya wanamichezo ...
0 comments:
Post a Comment