Sunday, December 16, 2012
Ukiongelea kipaji dhana kama kuimba,kucheza,kuchora nk ni miongoni mwa vitu vinavyorejea akilini upesi.Lakini maana halisi ya kipaji huvuka dhana hizi chache.Kwa mfano tofauti ya kitendo cha kuchora picha baina ya watu wawili ,mmoja isitoe taswira ya kitu alichotaka na mwingine ikatoa ,tunaita kipaji.Kipaji ni ufanisi wa asili katika jambo,kitu kwa akili nyingi au kidogo kionekane cha kipekee kwa uzuri ama mafanikio.Ili kipaji kifanikiwe haina budi kusaidiwa na sehemu au viungo vya mwili ikiwemo akili,mikono,miguu,kinywa,macho nk
1.AKILI

2.MIKONO

3.MIGUU
 
4.KINYWA(mdomo)

5.MACHO 

 

0 comments:

Popular Posts