Waliotembelea
Tafuta
Labels
- afya (10)
- akili (1)
- filamu (4)
- filamu.video (1)
- kipaji (6)
- kompyuta (2)
- kujifunza (17)
- kuona (1)
- maneno (6)
- matokeo (1)
- mazoezi (2)
- mbinu (1)
- michezo (5)
- mitandao ya kijamii (1)
- mwaka (1)
- mziki (1)
- ndoto (2)
- njia (1)
- nukuu (6)
- picha (12)
- picture (10)
- sikiliza (1)
- social ntworks (1)
- tafiti (5)
- teknolojia (5)
- tukio (7)
- usahaulifu (1)
- usingizi (1)
- video (4)
- wasanii (4)
Thursday, December 27, 2012
Hapa ni mujumuisho wa wanafunzi toka awali,shule ya msingi,sekondari hadi chuo wakiwa eitha kwenye maandalizi au sherehe ya kirismasi
1.GHANA
2.INDIA
3.CHINA
4.MAREKANI
5.UINGEREZA
6.TANZANIA
7.UFILIPINO
8.IRAN
9.KONGO
10.KENYA
1.GHANA
2.INDIA
3.CHINA
4.MAREKANI
5.UINGEREZA
6.TANZANIA
7.UFILIPINO
8.IRAN
9.KONGO
10.KENYA
Wednesday, December 19, 2012
Ni bayana kuwa kiungo,sehemu au kitu kimoja cha mwili hakitafikia utendaji thabiti pale kisiposhirikiana na vingine.Ushirikiano baina ya akili,mikono,kinywa,miguu , macho nk. ndio chanzo kikubwa katika kukuza kipaji cha mtu.Isipokuwa utendaji na uchakarikaji wa sehemu hadi sehemu hutofautiana ,ikitegemea mazingira,shughuri na wakati.Wafuatao ni watu kumi(10) walioaminika kuwa na vipaji vya kipekee kutokana na uwezo wa akili (4Mind 4 life.com na time magazine).
1.ALBERT EINSTEIN-mwanafizikia(physicist)2. CHARLES DARWIN-mtaalamu wa jiolojia(geologist)
3.PYTHAGORAS-mwana mahesabu(mathematician)
4.ISAAC NEWTON -mhandisi umeme(engineer),falaki(astronomer)
5.LINUS PAULING-mwanakemia,mwalimu
6.WILLIAM SHAKESPEAR-mshairi(poet)
7.LEONARDO DA VINCI-mchoraji
8.LUDWIG VAN BEETHOVEN-mwanamziki
9.GERRY KASPROV-mcheza chesi(chess)
10.MARTIN LUTHER-mwanateolojia,dini(theologian)
Sunday, December 16, 2012
Ukiongelea kipaji dhana kama kuimba,kucheza,kuchora nk ni miongoni mwa vitu vinavyorejea akilini upesi.Lakini maana halisi ya kipaji huvuka dhana hizi chache.Kwa mfano tofauti ya kitendo cha kuchora picha baina ya watu wawili ,mmoja isitoe taswira ya kitu alichotaka na mwingine ikatoa ,tunaita kipaji.Kipaji ni ufanisi wa asili katika jambo,kitu kwa akili nyingi au kidogo kionekane cha kipekee kwa uzuri ama mafanikio.Ili kipaji kifanikiwe haina budi kusaidiwa na sehemu au viungo vya mwili ikiwemo akili,mikono,miguu,kinywa,macho nk
1.AKILI
2.MIKONO
3.MIGUU
4.KINYWA(mdomo)
5.MACHO
Wednesday, December 12, 2012
Msimu wa ''x mass'' umetimia,ndugu ,marafiki pamoja na wanafunzi wanajiandaa na wengine wapo likizo na familia zao.Wakati huu wa likizo kama hakutakuwa na shughuri maalum ya kutenda ni dhahiri utapata muda wa kutosha kutazama televisheni,kitakirishi(komputer)nk .Hivyo zifuatazo ni filamu tano(5) za kutazama msimu wa ''x mass''
1.HOME ALONE2.THE POLAR EXPRESS
3.A CHRISTMAS STORY
4.DIE HARD
Saturday, December 8, 2012
Wakati mwili wa binadamu ni kama jumba ,akili huwa kama funguo ikusababishayo kufikia kila chumba cha maamuzi.Maamuzi hufikiwa baada ya kupitia milango ya fahamu.Na hivyo ili utende vyema ni lazima kufikiri vyema.Pia kufikiri vyema ni lazima ujue chakula gani kitakacho kusaidia kuongeza uwezo wa akili.Na hivi ni vyakula kumi(10) viongezavyo uwezo wa akili
1.KAHAWA2.MAYAI
3.SAMAKI
4.KABICHI
5.NDIZI
6.CHOKOLETI
7. MBEGU JAMII YA KOROSHO
8.''APPLE''
9."BLACKBERRY"
10.SPINACHI
Tuesday, December 4, 2012
Kama isivyokuwa rahisi kumuelewa kiundani mwalimu mmoja, ndivyo ilivyo hata kwa njia fulani za kujifunza.Kushindwa kuelewa kwa njia ya kujifunza kama kuona na kusikiliza haijarishi ndio mwisho wa kujifunza.Kuna aina ya tatu ambayo ni kujifunza kwa vitendo(kutenda),hii ina aina saba kama zifuatazo
1.KUANDIKA NOTISI KUTOKA KWA MWALIMU2.KUANDIKA NOTISI KUTOKA KWENYE VITABU
3.KUTAFUTA NOTISI KUTOKA KWENYE MTANDAO
4.UFANYAJI WA KAZI NA MAJARIBIO MAABARA
5.KUFANYA MAZOEZI YA DARASANI
6KUCHUKUA KAZI ZA KUFANYIA NYUMBANI (Home work)
7.KUFANYA NGONJERA NAMAIGIZO SHULENI
Monday, December 3, 2012
Subscribe to:
Posts
(Atom)
Popular Posts
-
Hekima huja sio tu kwa kuona matendo yasiyo na busara ndani yake. Bali hekima hujipambanua katika umbo la uelewa na ufahamu ,pale tu uwapo ...
-
Ibrahim na Neema huvutiwa sana na mitindo.Ndoto yao juu ya tasinia hii ilianza kwa kupenda haiba na unadhifu.Wakiwa ni vijana wasio na aj...
-
Katika moja ya kipindi cha luninga niliona mabishano baina ya watu watatu, hawa jamaa walitofautiana katika misamiati miwili. Msamiati wa...
-
Kwa mujibu wa mtandao mashuhuri duniani unaoeleza maada na mambo mbalimbali , Wikipedia the free encyclopedia . Kusoma ni mchakato wa ku...
-
Wakati mwili wa binadamu ni kama jumba ,akili huwa kama funguo ikusababishayo kufik ia kila chumba cha maamuzi. Maamuzi hufikiwa baada ya ...
-
Ni miongoni mwa maswali ya msingi sana hapa duniani ,mtu kuhoji,kudadisi na kujiuliza maisha ni nini?Kwa kuwa maisha yanagusa kila mwanad...
-
Wakati sauti hujaribu kudokeza baadhi ya tabia za ndani, mavazi hodokeza mawazo, fikra na hisia za mtu .Hii hutokana na muonekano unao...
-
Matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2013 yanatoka tar 21 februari 2014 , huku mabadiliko kadhaa yakijitokeza. Mabadiliko haya ni pamoja na...
-
Kupokea maarifa na elimu kutoka chanzo kimoja,mtu mmoja hadi hatua ya kutafasiriwa na akili ya mtu mwingine,haina budi kuja kwa njia ya kuji...
-
Kombe la dunia(2014) ilikua ni michuano ya kabumbu,ambayo ilianza tar 12 mwezi june na kuisha 13 july, huku ilikonga mioyo ya wanamichezo ...