Thursday, April 5, 2012
Mazingira ni kila kitu kwa watu,watu hufanikiwa hasa pale bidii inapowekezwa kwenye mazingira.Hakuna mazingira hakuna maisha ya mwanadamu.Muone binti wa miaka 12 toka Canada anavyosimama thabiti zidi ya dunia na kuinyamazisha kwa muda  hasa pale linapokuja swala la uharibifu wa mazingira kama misitu,maziwa,mito.anga nk

0 comments:

Popular Posts