Waliotembelea

Tafuta

Labels

Wednesday, December 19, 2012
Ni bayana kuwa kiungo,sehemu au kitu kimoja cha mwili hakitafikia utendaji thabiti pale kisiposhirikiana na vingine.Ushirikiano baina ya akili,mikono,kinywa,miguu , macho nk. ndio chanzo kikubwa katika kukuza kipaji cha mtu.Isipokuwa utendaji na uchakarikaji wa sehemu hadi sehemu hutofautiana ,ikitegemea mazingira,shughuri na wakati.Wafuatao ni watu kumi(10) walioaminika kuwa na vipaji vya kipekee kutokana na uwezo wa akili (4Mind 4 life.com na time magazine).
1.ALBERT EINSTEIN-mwanafizikia(physicist)


2. CHARLES DARWIN-mtaalamu wa jiolojia(geologist)

3.PYTHAGORAS-mwana mahesabu(mathematician)


4.ISAAC NEWTON  -mhandisi umeme(engineer),falaki(astronomer)


5.LINUS PAULING-mwanakemia,mwalimu


6.WILLIAM SHAKESPEAR-mshairi(poet)


7.LEONARDO DA VINCI-mchoraji

8.LUDWIG VAN BEETHOVEN-mwanamziki


9.GERRY KASPROV-mcheza chesi(chess) 


10.MARTIN LUTHER-mwanateolojia,dini(theologian)
 
Sunday, December 16, 2012
Ukiongelea kipaji dhana kama kuimba,kucheza,kuchora nk ni miongoni mwa vitu vinavyorejea akilini upesi.Lakini maana halisi ya kipaji huvuka dhana hizi chache.Kwa mfano tofauti ya kitendo cha kuchora picha baina ya watu wawili ,mmoja isitoe taswira ya kitu alichotaka na mwingine ikatoa ,tunaita kipaji.Kipaji ni ufanisi wa asili katika jambo,kitu kwa akili nyingi au kidogo kionekane cha kipekee kwa uzuri ama mafanikio.Ili kipaji kifanikiwe haina budi kusaidiwa na sehemu au viungo vya mwili ikiwemo akili,mikono,miguu,kinywa,macho nk
1.AKILI

2.MIKONO

3.MIGUU
 
4.KINYWA(mdomo)

5.MACHO 

 

Wednesday, December 12, 2012
Msimu wa ''x mass''  umetimia,ndugu ,marafiki pamoja na wanafunzi wanajiandaa na wengine wapo likizo na familia zao.Wakati huu wa likizo kama hakutakuwa na shughuri maalum ya kutenda ni dhahiri utapata muda wa kutosha kutazama televisheni,kitakirishi(komputer)nk .Hivyo zifuatazo ni filamu tano(5) za kutazama msimu wa ''x mass''
1.HOME ALONE

2.THE POLAR EXPRESS

3.A CHRISTMAS STORY








4.DIE HARD




 5.ELF


                       
                                                                                                
Saturday, December 8, 2012
Wakati mwili wa binadamu ni kama jumba ,akili huwa kama funguo ikusababishayo kufikia kila chumba cha maamuzi.Maamuzi hufikiwa baada ya kupitia milango ya fahamu.Na hivyo ili utende vyema ni lazima kufikiri vyema.Pia kufikiri vyema ni lazima  ujue chakula gani kitakacho kusaidia kuongeza uwezo wa akili.Na hivi ni vyakula kumi(10) viongezavyo uwezo wa akili
1.KAHAWA

2.MAYAI


3.SAMAKI

4.KABICHI
 
5.NDIZI

6.CHOKOLETI

7. MBEGU JAMII YA KOROSHO


8.''APPLE''

9."BLACKBERRY"



10.SPINACHI 


Tuesday, December 4, 2012
Kama isivyokuwa rahisi kumuelewa kiundani mwalimu mmoja, ndivyo ilivyo hata kwa njia fulani za kujifunza.Kushindwa kuelewa kwa njia ya kujifunza kama kuona na kusikiliza haijarishi ndio mwisho wa kujifunza.Kuna aina ya tatu ambayo ni kujifunza kwa vitendo(kutenda),hii ina aina saba kama zifuatazo
1.KUANDIKA  NOTISI KUTOKA KWA MWALIMU
 
2.KUANDIKA NOTISI KUTOKA KWENYE VITABU

3.KUTAFUTA NOTISI KUTOKA KWENYE MTANDAO
 
 4.UFANYAJI  WA KAZI NA MAJARIBIO MAABARA


 
5.KUFANYA MAZOEZI YA DARASANI

6KUCHUKUA KAZI ZA KUFANYIA NYUMBANI (Home work)
 
7.KUFANYA NGONJERA NAMAIGIZO  SHULENI


 

Friday, November 30, 2012
Ni hatua itiayo moyo kuwa safari ya kuwa mwanafunzi hasa kwa miaka mingi huwa na kituo.Na kituo hiki hugawanyika katika nyanja mbalimbali kama elimu,biashara,siasa,michezo nk.Hatua ya kusoma leo, kesho waweza fikia mafanikio kama ilivyokuwa kwa hawa watu kumi(10) wafuatao
1.BILL GATES(Bilionea na mwekiti wa Microsoft)


2.MARK ZUCKERBURG(Bilionea na Mgunduzi wa facebook)


3.BAKHRESA(Mfanyabiashara Tanzania)

4.ROBERT MGABE(Rais Zimbabwe)

5.JAKAYA M KIKWETE(Rais Tanzania)

6.BARACK H OBAMA(Rais Marekani)

7.MICHAEL J JACKSOM(Mwanamziki Marekani)

8.JUDITH WAMBURA(Mwanamziki Tanzania)

9.DAVID BECKHAM(Mcheza mpira Uingereza)


10.JUMA KASEJA(Mcheza mpira Tanzania)
       

.


Popular Posts