Waliotembelea
Tafuta
Labels
- afya (10)
- akili (1)
- filamu (4)
- filamu.video (1)
- kipaji (6)
- kompyuta (2)
- kujifunza (17)
- kuona (1)
- maneno (6)
- matokeo (1)
- mazoezi (2)
- mbinu (1)
- michezo (5)
- mitandao ya kijamii (1)
- mwaka (1)
- mziki (1)
- ndoto (2)
- njia (1)
- nukuu (6)
- picha (12)
- picture (10)
- sikiliza (1)
- social ntworks (1)
- tafiti (5)
- teknolojia (5)
- tukio (7)
- usahaulifu (1)
- usingizi (1)
- video (4)
- wasanii (4)
Wednesday, May 15, 2013
Ni baada ya chuo cha Stemmuco kufuatiwa na mfululizo wa matukio makubwa ya kimichezo,kama yale ya THE BIG SCORE ,INTER YEAR(CLASS)COMPETITION na mengine mengi,juma pili hii ya tarehe 11 mei 2013 inapambwa na tukio kubwa zaidi katika historia ya michezo Mtwara.Hili ni tukio pekee linalobeba uhusishaji wa vyuo na taasisi zaidi ya sita.Bandari,Utumishi,TCC,STEMMUCO,Jeshi nk.Tukio hili limepewa jina maarufu kama PRO LIFE.Katika fainali za Pro life Stemmuco na Utumishi wanafanikiwa kumenyana katika viwanja maarufu vya Mtwara,Nangwanda Stadium .Mpaka kipenga cha mwisho katika dakika ya 90 Utumishi wanaibuka kidedea zidi ya mahasimu wao kwa gori 2-1.Na hizi ni picha kumi na nne(14)za matukio mbalimbali yaliopata kujili katika viwanja hivyo.
1.
2.
3.
4.
| Muamuzi akimzawadia kadi ya njano moja ya wachezaji kutoka Utumishi |
5.
| Hapa ni mashabiki wa Stemmuco wakishangilia kwa shamlashamla zote na vuvuzela |
6.
7.
| Benchi la mashabiki timu ya Utumishi |
8.
9.
10.
| moja ya wachezaji wa Utmishi akitoka njee ya uwanja baada ya maumivu ya mguu |
11.
12.
| Mashabiki wa Stemmuco kwa sauti na nguvu zote hawakuchoka kushangilia |
| Utumishi pia hawakukaa kimya hata sekunde moja |
| Dr Msafiri, mlezi na mwanzilishi wa mashindano haya akiwa pamoja na watangazaji |
Monday, April 1, 2013
Wakati kosa ni moja yakifika mawili ni makosato.Hivyo kitendo cha kutotenda au kutofanya jambo kwa usahihi huku ukienda kinyume na utaratibu unaoendesha jambo hilo,kitazalisha dhana iitwayo kosa.Upande wa pili wa kosa huleta dhana nyingine iitwayo adhabu.Adhabu ni hatua ya kumwajibisha mtu kwa dhumuni la kujirudi na kufuata utaratibu unaoendesha jambo fulani alilokeuka mwanzo.Zifuatazo ni picha tisa(9) zikionyesha makosa na adhabu katika mashule
1.KOSA:Kulewa4.KOSA:Kutazamia
5.ADHABU
6.ADHABU
7.ADHABU
8.ADHABU
9.ADHABU
Sunday, February 17, 2013
Kwa mjibu wa kamusi ya uingereza maarufu kama Oxford dictionary,neno kujifunza ni mapokeo ya ujuzi au elimu baada ya uzoefu ama mafunzo fulani.Hivyo ni bayana ya mambo tuonayo na kusikia mashuleni hadi majumbani mwetu.Na hizi ni kanuni tano(5) za kujifunza
1.Utayari
2.Mazoezi(exercise)
3.Hisia za kutafakari
4.Kukazia maarifa katika uhalisia
5.Marudio
1.Utayari
2.Mazoezi(exercise)
3.Hisia za kutafakari
4.Kukazia maarifa katika uhalisia
5.Marudio
Tuesday, January 29, 2013
Fainali za big score,zilizofanyika mtwara chini ya chuo cha sauti(stemmuco) zilifika mwisho huku mwaka wa pili wakibuka kidedea zidi ya wapinzani wao wa jadi, mwaka wa tatu katika mpira wa miguu.Mwaka wa tatu walisimama magwiji wa chuo hasa pale walipo kuwa washindi katika michezo ya kikapu ,wavu na pete.Chini ni picha kumi na saba(17) za matukio mbali mbali yaliojiri ndani ya viwanja vya Nangwanda
kikosi cha mwaka wa pili mpira wa miguu kikosi cha mwaka wa tatu mpira wa pete
kikosi cha wahadhiri na wafanyakazi wa chuo
Young Professor na mashabiki wa mwaka wa pili
mashabiki wakifurahia ushindi
class representative(cr) katika suti na washindi
young professor na timu iliyoshinda
kelele,shangwe na vigelegele za mwaka wa pili
baadhi ya wachezaji toka mwaka wa tatu
wachezaji kwa midadi wakisubiri kupokea kombe
mashabiki wakishindwa kuficha hisia zao
Monday, January 21, 2013
Wiki ya kwanza hadi ya tatu ya mwaka mpya 2013 ilikuwa nzuri ,hasa pale Kitabukwanzablogspot ilipopata fursa ya kutembelea baadhi ya kazi za sanaa zilizohusisha utengenezaji wa magari,ramani za mji,nchi,kuunda milima,jeograia ya mito nk.Hivyo kuibua ile dhana isemayo 'hakuna lishindikanalo chini ya jua'.Hapa chini ni baadhi ya hizo picha.
1.Mlima2.Ramani ya nchi
3.Televisheni ya digitali
4.Jeografia ya mto
5.Miamba iliyorika(rock pedestal)
6.Usafiri
7.Nyumba
8.feni
9.Leya za udongo
10.Ramani ya mji
Subscribe to:
Posts
(Atom)
Popular Posts
-
Hekima huja sio tu kwa kuona matendo yasiyo na busara ndani yake. Bali hekima hujipambanua katika umbo la uelewa na ufahamu ,pale tu uwapo ...
-
Ibrahim na Neema huvutiwa sana na mitindo.Ndoto yao juu ya tasinia hii ilianza kwa kupenda haiba na unadhifu.Wakiwa ni vijana wasio na aj...
-
Katika moja ya kipindi cha luninga niliona mabishano baina ya watu watatu, hawa jamaa walitofautiana katika misamiati miwili. Msamiati wa...
-
Kwa mujibu wa mtandao mashuhuri duniani unaoeleza maada na mambo mbalimbali , Wikipedia the free encyclopedia . Kusoma ni mchakato wa ku...
-
Wakati mwili wa binadamu ni kama jumba ,akili huwa kama funguo ikusababishayo kufik ia kila chumba cha maamuzi. Maamuzi hufikiwa baada ya ...
-
Ni miongoni mwa maswali ya msingi sana hapa duniani ,mtu kuhoji,kudadisi na kujiuliza maisha ni nini?Kwa kuwa maisha yanagusa kila mwanad...
-
Wakati sauti hujaribu kudokeza baadhi ya tabia za ndani, mavazi hodokeza mawazo, fikra na hisia za mtu .Hii hutokana na muonekano unao...
-
Matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2013 yanatoka tar 21 februari 2014 , huku mabadiliko kadhaa yakijitokeza. Mabadiliko haya ni pamoja na...
-
Kupokea maarifa na elimu kutoka chanzo kimoja,mtu mmoja hadi hatua ya kutafasiriwa na akili ya mtu mwingine,haina budi kuja kwa njia ya kuji...
-
Kombe la dunia(2014) ilikua ni michuano ya kabumbu,ambayo ilianza tar 12 mwezi june na kuisha 13 july, huku ilikonga mioyo ya wanamichezo ...













