Waliotembelea
Tafuta
Labels
- afya (10)
- akili (1)
- filamu (4)
- filamu.video (1)
- kipaji (6)
- kompyuta (2)
- kujifunza (17)
- kuona (1)
- maneno (6)
- matokeo (1)
- mazoezi (2)
- mbinu (1)
- michezo (5)
- mitandao ya kijamii (1)
- mwaka (1)
- mziki (1)
- ndoto (2)
- njia (1)
- nukuu (6)
- picha (12)
- picture (10)
- sikiliza (1)
- social ntworks (1)
- tafiti (5)
- teknolojia (5)
- tukio (7)
- usahaulifu (1)
- usingizi (1)
- video (4)
- wasanii (4)
Monday, February 24, 2014
Matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2013 yanatoka tar 21 februari 2014 , huku mabadiliko kadhaa yakijitokeza. Mabadiliko haya ni pamoja na sura mpya ya ufaulu, masomo, mbangilio wa alama, mpangilio wa madaraja, uwiano wa wasichana na wavulana, uwiano wa shule binafsi na shule za serikali . Katika ufaulu kiwango cha panda kwa asilimia 15.17 toka asilimia 43.08 mwaka 2012 hadi asilimia 58.25 mwaka 2013. Upande wa masomo , watahiniwa wafaulu zaidi somo la Kiswahili kwa asilimia 67.77 na wafanya vibaya katika hesabu, Basic Mathematics , ikiwa ni kwa asilimia 17.78 tu. Mpangilio wa alama umeangalia A= 1 , B+= 2, B= 3, C= 4 , D= 5 ,E= 6 na F.Matokeo ya mwaka 2013 yamekuwa na pointi (alama) nyingi tofauti na miaka mingine, ukiachilia mbali daraja la kwanza lenye pointi (9 - 17), daraja la pili lina pointi (18 - 24), daraja la tatu pointi (25 - 31), daraja la nne likiwa na pointi (32 - 46) na mwisho daraja la sifuri linalofunga madaraja yote kwa pointi (47-nakuendelea).Kwa miaka iliyopita madaraja yalikuwa kama ifuatavyo; i (9 - 17), ii (18 - 21), iii (22- 25), iv (26 - 33) na zero (34 - nakuendelea). Katika matokeo haya wavulana wanaongoza wasichana ikiwa ni kwa uwiano wa asilimia 59. 58 kwa asilimia 56. 73 . Na Shule binafsi zikitoa wahitimu wengi waliofaulu sana zidi ya shule za serikali zinazotoa wachache. Nafasi za juu zinakamatwa na shule za binafsi huku zaidi ya shule 10 za serikali zikikamata nafasi ya mwisho. Na hizi ni shule 10 bora matokea kidato cha nne 2013
1. St.Francis Girls (Mbeya) st
2. Marian Boys (Pwani)
3. Feza Girls (Dar-es-salaam)
4. Precious Blood (Arusha)
5. Canossa (Dar-es-salaam)
6. Marian Girls (Pwani)
7. Anwarite Girls (Kilimanjaro)
8. Abbey (Mtwara)
9. Rosmini (Tanga)
10. DonBosco Seminary (Iringa)
Thursday, February 20, 2014
Mazoezi ni lulu katika mwili ni nuru katika akili ni siri katika ushindi .Hapa ni baadhi ya mazozi yakifanyika ufukweni na timu ya wacheza kikapu , STEMMUCO , ilipokuwa mkoani Lindi
1.2
3
4
5
6
7
8
9
10
12
13
14
Saturday, February 15, 2014
Kwa mujibu wa mtandao mashuhuri duniani unaoeleza maada na mambo mbalimbali , Wikipedia the free encyclopedia. Kusoma ni mchakato wa kutambua na kubaini alama, unaopelekea mtu kujenga maana. Maana hupatikana katika mpangilio wa alama husika.Alama hizi ni kuanzia irabu , konsonanti hadi silabi. Ambazo kwa pamoja huunda neno, kirai, kishazi na hatimaye sentensi .Sentensi pia hujenga aya , na hizi aya zikiungana huunda kitu kinaitwa habari . Wakati unagundua jinsi mfumo mzima ujengao habari unaundwa na vipengele vidogo vidogo zaidi ya kimoja .Kusoma na kuelewa habari pia kunaundwa na mbinu kadhaa. Kutoa mwangwa zaidi juu ya huu muundo wa usomaji katika makala, kitabu au chanzo chochote cha maarifa. Tazama hizi mbinu nne za usomaji .
2.Kusoma habari kubwa ukipitia upesi maeneo baadhi tu, na sio kila neno (usomaji wa haraka zaidi )'scanning reading'
4.Kusoma kwa kulenga dhana na wazo muhimu tu katika habari,na kuacha maeneo mengine.
(usomaji haraka)'skimming reading'
(usomaji haraka)'skimming reading'
Subscribe to:
Posts
(Atom)
Popular Posts
-
Hekima huja sio tu kwa kuona matendo yasiyo na busara ndani yake. Bali hekima hujipambanua katika umbo la uelewa na ufahamu ,pale tu uwapo ...
-
Ibrahim na Neema huvutiwa sana na mitindo.Ndoto yao juu ya tasinia hii ilianza kwa kupenda haiba na unadhifu.Wakiwa ni vijana wasio na aj...
-
Katika moja ya kipindi cha luninga niliona mabishano baina ya watu watatu, hawa jamaa walitofautiana katika misamiati miwili. Msamiati wa...
-
Kwa mujibu wa mtandao mashuhuri duniani unaoeleza maada na mambo mbalimbali , Wikipedia the free encyclopedia . Kusoma ni mchakato wa ku...
-
Wakati mwili wa binadamu ni kama jumba ,akili huwa kama funguo ikusababishayo kufik ia kila chumba cha maamuzi. Maamuzi hufikiwa baada ya ...
-
Ni miongoni mwa maswali ya msingi sana hapa duniani ,mtu kuhoji,kudadisi na kujiuliza maisha ni nini?Kwa kuwa maisha yanagusa kila mwanad...
-
Wakati sauti hujaribu kudokeza baadhi ya tabia za ndani, mavazi hodokeza mawazo, fikra na hisia za mtu .Hii hutokana na muonekano unao...
-
Matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2013 yanatoka tar 21 februari 2014 , huku mabadiliko kadhaa yakijitokeza. Mabadiliko haya ni pamoja na...
-
Kupokea maarifa na elimu kutoka chanzo kimoja,mtu mmoja hadi hatua ya kutafasiriwa na akili ya mtu mwingine,haina budi kuja kwa njia ya kuji...
-
Kombe la dunia(2014) ilikua ni michuano ya kabumbu,ambayo ilianza tar 12 mwezi june na kuisha 13 july, huku ilikonga mioyo ya wanamichezo ...