Waliotembelea
Tafuta
Labels
- afya (10)
- akili (1)
- filamu (4)
- filamu.video (1)
- kipaji (6)
- kompyuta (2)
- kujifunza (17)
- kuona (1)
- maneno (6)
- matokeo (1)
- mazoezi (2)
- mbinu (1)
- michezo (5)
- mitandao ya kijamii (1)
- mwaka (1)
- mziki (1)
- ndoto (2)
- njia (1)
- nukuu (6)
- picha (12)
- picture (10)
- sikiliza (1)
- social ntworks (1)
- tafiti (5)
- teknolojia (5)
- tukio (7)
- usahaulifu (1)
- usingizi (1)
- video (4)
- wasanii (4)
Saturday, December 28, 2013
Kompyuta ni
nini?, iligunduliwa wapi?, muda gani na nani?. Ni maswali rahisi kuuliza na magumu
kujibu.Ugumu unatokana na ukweli kwamba,kompyuta ni chombo cha umeme chenye
kufikia, kuchakata, kuonyesha na kutunza habari (data) mbalimbali, kinachoundwa na sehemu
nyingi, huku karibu kila sehemu ikiwa na mgunduzi wake anayejitegemea.Bill Gate ,Zuse na Steve Job ni mifano tu ya majina machache yajulikanayo kati ya mengi yalioleta mapinduzi juu ya chombo hiki cha digitali . Urahisi
wa kuuliza maswali pia, unasukumwa sana na mchango mkubwa wa hiki kifaa cha umeme, ambacho kiligundulika Marekani mwanzoni mwa miaka ya 1930,ambapo mpaka sasa kimesaidia katika
maeneo kadha wa kadha. Sio tu majumbani, mashuleni, maofisini, viwandani lakini pia
hata maeneo muhimu ya huduma za kiafya kama zahanati. Mpaka kufikia maendeleo yanayoonekana
leo; kuchapa kazi, kusikiliza muziki, kutazama filamu, kufuatilia habari , kutuma na
kupokea maombi ya kazi, elimu kwa njia ya mtanadao (internet) nk , chombo hiki kimepitia kizazi zaidi ya kimoja. Na vifuatavyo
ni vizazi vikuu vinee vya kompyuta.
1.kizazi cha
kwanza(1946-1958)
2.kizazi cha
pili(1959-1964)
3.kizazi cha
tatu(1965-1970)
4.kizazi cha
nne(1971mpaka sasa)
Subscribe to:
Posts
(Atom)
Popular Posts
-
Hekima huja sio tu kwa kuona matendo yasiyo na busara ndani yake. Bali hekima hujipambanua katika umbo la uelewa na ufahamu ,pale tu uwapo ...
-
Ibrahim na Neema huvutiwa sana na mitindo.Ndoto yao juu ya tasinia hii ilianza kwa kupenda haiba na unadhifu.Wakiwa ni vijana wasio na aj...
-
Katika moja ya kipindi cha luninga niliona mabishano baina ya watu watatu, hawa jamaa walitofautiana katika misamiati miwili. Msamiati wa...
-
Kwa mujibu wa mtandao mashuhuri duniani unaoeleza maada na mambo mbalimbali , Wikipedia the free encyclopedia . Kusoma ni mchakato wa ku...
-
Wakati mwili wa binadamu ni kama jumba ,akili huwa kama funguo ikusababishayo kufik ia kila chumba cha maamuzi. Maamuzi hufikiwa baada ya ...
-
Ni miongoni mwa maswali ya msingi sana hapa duniani ,mtu kuhoji,kudadisi na kujiuliza maisha ni nini?Kwa kuwa maisha yanagusa kila mwanad...
-
Wakati sauti hujaribu kudokeza baadhi ya tabia za ndani, mavazi hodokeza mawazo, fikra na hisia za mtu .Hii hutokana na muonekano unao...
-
Matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2013 yanatoka tar 21 februari 2014 , huku mabadiliko kadhaa yakijitokeza. Mabadiliko haya ni pamoja na...
-
Kupokea maarifa na elimu kutoka chanzo kimoja,mtu mmoja hadi hatua ya kutafasiriwa na akili ya mtu mwingine,haina budi kuja kwa njia ya kuji...
-
Kombe la dunia(2014) ilikua ni michuano ya kabumbu,ambayo ilianza tar 12 mwezi june na kuisha 13 july, huku ilikonga mioyo ya wanamichezo ...