Waliotembelea
Tafuta
Labels
- afya (10)
- akili (1)
- filamu (4)
- filamu.video (1)
- kipaji (6)
- kompyuta (2)
- kujifunza (17)
- kuona (1)
- maneno (6)
- matokeo (1)
- mazoezi (2)
- mbinu (1)
- michezo (5)
- mitandao ya kijamii (1)
- mwaka (1)
- mziki (1)
- ndoto (2)
- njia (1)
- nukuu (6)
- picha (12)
- picture (10)
- sikiliza (1)
- social ntworks (1)
- tafiti (5)
- teknolojia (5)
- tukio (7)
- usahaulifu (1)
- usingizi (1)
- video (4)
- wasanii (4)
Sunday, July 28, 2013
Kama gari linavyohitaji magurudumu na vitu muhimu katika kusafiri, harikadharika elimu inapaswa kuwa na kila kitu muhimu kumudu madhumuni ya kutoa uelewa kwa jamii.Mbali na sera ya elimu,walimu na mtaala.Elimu hukosa vitu vya msingi kwa maana ya kujenga nguzo imara na thabiti yenye kutoa mwanya wa mafunzo bora. Uhakika wa mafunzo bora unategemea pia,uwepo wa madarasa,mbao za kuandikia ,viti na miundombinu nyingine.Miundombinu ni kitu cha msingi ,ni moja ya daraja kubwa liletalo matokeo mazuri ya ufaulu .Ni bayana ya ngome kuu inayolinda na kuwezesha maarifa na elimu ya mtoto.Kama miundombinu ikiboreshwa hasa katika shule za misingi(primary schools),ni wazi kuwa kutakuwa na mapinduzi makubwa hata ngazi ya sekondari na vyuo. .Zifuatazo ni picha 10 zikionyesha matatizo yatokanayo na ukosefu wa miundombinu bora katika shule za misingi
1.2.
3.
4.
5.
6.
7.
8.
9.
10.
Saturday, July 27, 2013
Ni miongoni mwa maswali ya msingi sana hapa duniani ,mtu kuhoji,kudadisi na kujiuliza maisha ni nini?Kwa kuwa maisha yanagusa kila mwanadamu bila kubagua kama ni mwalimu au mwanafunzi,amesoma ama hakusoma .Tutangalia aina mbili za elimu.Elimu rasmi na elimu isiyorasmi( formal and non-formal education).Hapa kuna tumaini jema katika kufahamu ukweli na pengine maana juu ya maisha.Kwani kuna misemo na maana nyingi sana za maisha katika aina hizi mbili za elimu . Kama ilivyo katika misamiati mingine mingi , msamiati wa maisha umeibuka gumzo hata kupelekea wanafalsafa ,wasanii na waelimishaji wengi kujaribu kuongelea maisha.Mawazo yao katika maana ya maisha ,inatofautiana sana kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine.Tofauti kubwa ni katika mtazamo, uwezo wa kutafakari na kufikiri .Kutoka Tanzania tutangalia misemo na maana mbalimbali za maisha zitokanazo na wasanii watano(5)sambamba na sanaa zao za muziki.
2."Maisha ni kama gwaride kuna mwisho na wa kwanza ikisikika nyuma geuka wa mwisho anakuwa wa kwanza"Stamina
3.''Maisha siyo komborela ukasubiri kubutua jipange jitume ipo siku utafunua"Nay wa Mitego
4."Maisha ni kutenda na siyo majaribio"Mrisho Mpoto
5."Amini wewe ndiye steringi na maisha ndio sinema"Prof jay
Subscribe to:
Posts
(Atom)
Popular Posts
-
Hekima huja sio tu kwa kuona matendo yasiyo na busara ndani yake. Bali hekima hujipambanua katika umbo la uelewa na ufahamu ,pale tu uwapo ...
-
Ibrahim na Neema huvutiwa sana na mitindo.Ndoto yao juu ya tasinia hii ilianza kwa kupenda haiba na unadhifu.Wakiwa ni vijana wasio na aj...
-
Katika moja ya kipindi cha luninga niliona mabishano baina ya watu watatu, hawa jamaa walitofautiana katika misamiati miwili. Msamiati wa...
-
Kwa mujibu wa mtandao mashuhuri duniani unaoeleza maada na mambo mbalimbali , Wikipedia the free encyclopedia . Kusoma ni mchakato wa ku...
-
Wakati mwili wa binadamu ni kama jumba ,akili huwa kama funguo ikusababishayo kufik ia kila chumba cha maamuzi. Maamuzi hufikiwa baada ya ...
-
Ni miongoni mwa maswali ya msingi sana hapa duniani ,mtu kuhoji,kudadisi na kujiuliza maisha ni nini?Kwa kuwa maisha yanagusa kila mwanad...
-
Wakati sauti hujaribu kudokeza baadhi ya tabia za ndani, mavazi hodokeza mawazo, fikra na hisia za mtu .Hii hutokana na muonekano unao...
-
Matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2013 yanatoka tar 21 februari 2014 , huku mabadiliko kadhaa yakijitokeza. Mabadiliko haya ni pamoja na...
-
Kupokea maarifa na elimu kutoka chanzo kimoja,mtu mmoja hadi hatua ya kutafasiriwa na akili ya mtu mwingine,haina budi kuja kwa njia ya kuji...
-
Kombe la dunia(2014) ilikua ni michuano ya kabumbu,ambayo ilianza tar 12 mwezi june na kuisha 13 july, huku ilikonga mioyo ya wanamichezo ...