Sunday, February 17, 2013
Kwa mjibu wa kamusi ya uingereza maarufu kama Oxford dictionary,neno kujifunza ni mapokeo ya ujuzi au elimu baada ya uzoefu ama mafunzo  fulani.Hivyo ni bayana ya mambo tuonayo na kusikia mashuleni hadi majumbani mwetu.Na hizi ni kanuni tano(5) za kujifunza
1.Utayari

2.Mazoezi(exercise)

3.Hisia za kutafakari

4.Kukazia maarifa katika uhalisia
  
5.Marudio  
 

Popular Posts