Waliotembelea
Tafuta
Labels
- afya (10)
- akili (1)
- filamu (4)
- filamu.video (1)
- kipaji (6)
- kompyuta (2)
- kujifunza (17)
- kuona (1)
- maneno (6)
- matokeo (1)
- mazoezi (2)
- mbinu (1)
- michezo (5)
- mitandao ya kijamii (1)
- mwaka (1)
- mziki (1)
- ndoto (2)
- njia (1)
- nukuu (6)
- picha (12)
- picture (10)
- sikiliza (1)
- social ntworks (1)
- tafiti (5)
- teknolojia (5)
- tukio (7)
- usahaulifu (1)
- usingizi (1)
- video (4)
- wasanii (4)
Tuesday, January 29, 2013
Fainali za big score,zilizofanyika mtwara chini ya chuo cha sauti(stemmuco) zilifika mwisho huku mwaka wa pili wakibuka kidedea zidi ya wapinzani wao wa jadi, mwaka wa tatu katika mpira wa miguu.Mwaka wa tatu walisimama magwiji wa chuo hasa pale walipo kuwa washindi katika michezo ya kikapu ,wavu na pete.Chini ni picha kumi na saba(17) za matukio mbali mbali yaliojiri ndani ya viwanja vya Nangwanda
kikosi cha mwaka wa pili mpira wa miguu kikosi cha mwaka wa tatu mpira wa pete
kikosi cha wahadhiri na wafanyakazi wa chuo
Young Professor na mashabiki wa mwaka wa pili
mashabiki wakifurahia ushindi
class representative(cr) katika suti na washindi
young professor na timu iliyoshinda
kelele,shangwe na vigelegele za mwaka wa pili
baadhi ya wachezaji toka mwaka wa tatu
wachezaji kwa midadi wakisubiri kupokea kombe
mashabiki wakishindwa kuficha hisia zao
Monday, January 21, 2013
Wiki ya kwanza hadi ya tatu ya mwaka mpya 2013 ilikuwa nzuri ,hasa pale Kitabukwanzablogspot ilipopata fursa ya kutembelea baadhi ya kazi za sanaa zilizohusisha utengenezaji wa magari,ramani za mji,nchi,kuunda milima,jeograia ya mito nk.Hivyo kuibua ile dhana isemayo 'hakuna lishindikanalo chini ya jua'.Hapa chini ni baadhi ya hizo picha.
1.Mlima2.Ramani ya nchi
3.Televisheni ya digitali
4.Jeografia ya mto
5.Miamba iliyorika(rock pedestal)
6.Usafiri
7.Nyumba
8.feni
9.Leya za udongo
10.Ramani ya mji
Monday, January 7, 2013
Katika viungo muhimu binadamu alivyobarikiwa kuwa navyo moja wapo ni mikono. Mikono huweza kumfanya mtu mmoja awe maarufu au kubaki kawaida,matumizi chanya ya mikono hujenga,hukuza na kuleta kipaji kikubwa.Hata sasa sura ya mikono utaiona yenye thamani machoni pako kama thamani ya dhahabu,almasi na pengine hata zaidi lulu.Zifuatazo ni picha za vipaji kumi(10) vitokanavyo na mikono
1.Mchezo wa kikapu2.uchoraji
3.uandishi
4.uandaaji mziki
5.ufundi radio
6.kupika
7.kutafsiri vitendo
8.kudaka
9.ujenzi
10.kuchapa(typing)
Subscribe to:
Posts
(Atom)









